Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia kula nguruwe
Mambo ya Walawi 11 : 7 โ 8
7 โก Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
8 โข Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.
Leave a Reply