Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia kujiona kuwa muhimu
Isaya 14 : 12 – 15
12 ⑭ Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi! Jinsi ulivyokatwa kabisa, Ewe uliyewaangusha mataifa!
13 ⑮ Nawe ulisema moyoni mwako, Nitapanda mpaka mbinguni, Nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; Nami nitaketi juu ya mlima wa mkutano, Katika pande za mwisho za kaskazini.
14 ⑯ Nitapaa kupita vimo vya mawingu, Nitafanana na yeye Aliye Juu.
15 ⑰ Lakini utashushwa mpaka kuzimu; Mpaka pande za mwisho za shimo.
Leave a Reply