Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia kugawanya kanisa
Tito 3 : 10 โ 11
10 โค Mtu aliye mzushi, baada ya kumwonya mara ya kwanza na mara ya pili, tengana naye;
11 โฅ maana unajua ya kuwa mtu kama huyo ni mpotovu na mtenda dhambi, naye amejihukumia hatia yeye mwenyewe.
2 Timotheo 4 : 3
3 Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajikusanyia waalimu wengi, watakaowaambia yale tu masikio yao yanataka kusikia;
1 Wathesalonike 5 : 13
13 mkawastahi sana katika upendo, kwa ajili ya kazi zao. Iweni na amani ninyi kwa ninyi.
Leave a Reply