Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Kuchua ngozi
Matendo 9 : 43
43 Basi Petro akakaa siku kadhaa huko Yafa, nyumbani mwa mtu mmoja, jina lake Simoni, mtengenezaji wa ngozi.
Matendo 10 : 6
6 Yeye ni mgeni wa mtu mmoja, jina lake Simoni, mtengenezaji wa ngozi, ambaye nyumba yake iko pwani, atakuambia yakupasayo kutenda.
Leave a Reply