Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Krispo
Matendo 18 : 8
8 Na Krispo, mkuu wa sinagogi, akamwamini Bwana pamoja na nyumba yake yote. Wakorintho wengi waliposikia, waliamini, wakabatizwa.
1 Wakorintho 1 : 14
14 Nashukuru, kwa sababu sikumbatiza mtu kwenu, ila Krispo na Gayo;
Leave a Reply