Biblia inasema nini kuhusu Kore – Mistari yote ya Biblia kuhusu Kore

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Kore

1 Mambo ya Nyakati 9 : 19
19 Naye Shalumu, mwana wa Kore, mwana wa Ebiasafu, mwana wa Kora; pamoja na nduguze wa ukoo wa babaye, Wakora; walikuwa wakiisimamia kazi hiyo ya huduma, wenye ulinzi wa malango ya maskani; na kama vile baba zao walivyokuwa wamesimamia kambi ya BWANA, wakiyalinda maingilio;

1 Mambo ya Nyakati 26 : 1
1 ⑪ Kwa zamu zao mabawabu; wa Wakora; Meshelemia mwana wa Kore, wa wana wa Ebiasafu.

2 Mambo ya Nyakati 31 : 14
14 Na Kore, mwana wa Imna, Mlawi, bawabu wa mlango wa mashariki, alizisimamia sadaka za hiari za Mungu; ili kugawa matoleo ya BWANA, na vitu vilivyokuwa vitakatifu sana.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *