Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Koni
Mambo ya Walawi 11 : 5
5 Na wibari, kwa sababu yeye hucheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.
Kumbukumbu la Torati 14 : 7
7 Lakini, hawa msile katika wale wenye kucheua, na hao waliopasuliwa ukwato; ngamia, na sungura, na kwang’a, kwa kuwa hucheua, lakini hawakupasuliwa kwato, ni najisi kwenu;
Zaburi 104 : 18
18 Milima mirefu ndiko waliko mbuzi wa mwitu, Na magenge ni kimbilio lao wibari.
Mithali 30 : 26
26 Kwanga ni watu dhaifu; Lakini hujifanyia nyumba katika miamba.
Leave a Reply