Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Kondoo Waliopotea, Mfano wa
Mathayo 18 : 13
13 Hata akipata kumwona, amin, nawaambia, amfurahia huyo zaidi, kuliko wale tisini na tisa wasiopotea.
Luka 15 : 7
7 Nawaambia, Vivyo hivyo kutakuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye, kuliko kwa ajili ya wenye haki tisini na tisa ambao hawana haja ya kutubu.
Leave a Reply