Biblia inasema nini kuhusu Koleo – Mistari yote ya Biblia kuhusu Koleo

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Koleo

Kutoka 25 : 38
38 Na makoleo yake, na visahani vyake, vyote vitakuwa vya dhahabu safi.

Hesabu 4 : 9
9 ④ Kisha watatwaa nguo ya rangi ya samawati, na kukifunika kinara cha taa ya nuru, na taa zake, na makasi yake, na sahani zake za kuwekea makaa, na vyombo vyake vyote vya mafuta, watumiavyo kwa kazi yake;

1 Wafalme 7 : 49
49 na vinara vya taa, vitano upande wa kulia, na vitano upande wa kushoto, mbele ya chumba cha ndani, vya dhahabu safi; na maua, na taa, na koleo ya dhahabu;

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *