Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Kisloth-Tabori
Yoshua 19 : 12
12 kisha ukazunguka kutoka Saridi kwendelea upande wa mashariki kwa kuelekea maawio ya jua hata kufikia mpaka wa Kisiloth-ubori; kisha ukatokea hata Daberathi, kisha ukakwea kwendelea Yafia;
1 Mambo ya Nyakati 6 : 77
77 Nao mabaki ya Walawi, wana wa Merari, wakapewa, katika kabila la Zabuloni; Rimona pamoja na viunga vyake, na Tabori pamoja na viunga vyake;
Yoshua 19 : 18
18 โง Na mpaka wao ulifikia Yezreeli, Kesulothi, Shunemu;
Leave a Reply