Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia kiongozi wa familia
Mwanzo 18 : 19
19 Kwa maana nimemchagua[6] ili awaamuru wanawe na vizazi vyake baada yake wadumishe njia ya BWANA, kwa kuwa wenye haki na kweli, ili BWANA naye akamtimizie Abrahamu ahadi zake.
Waefeso 6 : 4
4 ② Nanyi, akina baba, msiwachokoze watoto wenu; bali waleeni katika adabu na maagizo ya Bwana.
Leave a Reply