Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Keriothi
Yoshua 15 : 25
25 Hazor-hadata, Kerioth-hezroni (ndio Hazori);
Yeremia 48 : 24
24 na juu ya Keriothi, na juu ya Bozra, na juu ya miji yote ya nchi ya Moabu, iliyo mbali na iliyo karibu.
Yeremia 48 : 41
41 ⑭ Miji imetwaliwa, ngome zimeshambuliwa, na mioyo ya mashujaa wa Moabu siku hiyo itakuwa kama moyo wa mwanamke akiwa katika uchungu wa kujifungua.
Amosi 2 : 2
2 lakini nitatuma moto juu ya Moabu, nao utayateketeza majumba ya Keriothi; na Moabu atakufa pamoja na mshindo, na kelele, na sauti ya tarumbeta;
Leave a Reply