Biblia inasema nini kuhusu Keilah – Mistari yote ya Biblia kuhusu Keilah

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Keilah

Yoshua 15 : 44
44 Keila, Akizibu na Maresha; miji tisa, pamoja na vijiji vyake.

1 Samweli 23 : 1
1 ⑤ Kisha wakamwambia Daudi, Angalia, Wafilisti wanapigana vita juu ya Keila na kuiba nafaka katika viwanja vya kupuria.

1 Samweli 23 : 13
13 ⑫ Basi Daudi na watu wake, ambao walikuwa kama mia sita, wakaondoka na kutoka Keila, wakaenda popote walipoweza kwenda. Kisha Sauli akaambiwa ya kwamba Daudi amekimbia toka Keila; akauacha mpango wake.

Nehemia 3 : 18
18 ⑫ Baada yake wakajenga ndugu zao, Binui, mwana wa Henadadi, mkuu wa nusu ya mtaa wa Keila.

1 Mambo ya Nyakati 4 : 19
19 Na wana wa mkewe Hodia, dada yake Nahamu, walikuwa babaye Keila, Mgarmi, na Eshtemoa, Mmaaka.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *