Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Kanah
Yoshua 16 : 8
8 โฑ Kutoka hapo Tapua mpaka ukaendelea upande wa magharibi hadi kijito cha Kana; na mwisho wake ulikuwa baharini. Huo ndio urithi wa hao wana wa Efraimu kwa kufuata jamaa zao;
Yoshua 17 : 9
9 Tena mpaka uliteremka hadi kijito cha Kana, upande wa kusini wa hicho kijito; miji hiyo ilikuwa ya Efraimu kati ya miji ya Manase; na mpaka wa Manase ulikuwa upande wa kaskazini wa hicho kijito, na mwisho wake ulikuwa baharini;
Yoshua 19 : 28
28 โฎ na Ebroni, Rehobu, Hamoni, Kana, hadi kufikia Sidoni Kuu;
Leave a Reply