Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Kalvari
Mathayo 27 : 33
33 Na walipofika mahali paitwapo Golgotha, yaani, Fuvu la Kichwa,
Marko 15 : 22
22 Wakamleta mpaka mahali paitwapo Golgotha, yaani, Fuvu la kichwa.
Luka 23 : 33
33 ② Na walipofika mahali paitwapo Fuvu la Kichwa, ndipo walipomsulubisha yeye, na wale wahalifu, mmoja upande wa kulia, na mmoja upande wa kushoto.
Yohana 19 : 17
17 Akatoka, huku akijichukulia msalaba wake, mpaka mahali paitwapo Fuvu la Kichwa, au kwa Kiebrania, Golgotha.
Leave a Reply