Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Kabul
Yoshua 19 : 27
27 ⑭ kisha ukazunguka kuelekea maawio ya jua mpaka Beth-dagoni, nao ukafikia hadi Zabuloni, tena mpaka bonde la Iftaeli upande wa kaskazini hadi Bethemeki na Neyeli; kisha ukatokea hadi Kabuli upande wa kushoto;
1 Wafalme 9 : 13
13 Akasema, Miji gani hii uliyonipa, ndugu yangu? Akaiita nchi ya Kabuli,[18] hata leo.
Leave a Reply