Biblia inasema nini kuhusu jukumu la mwanamke – Mistari yote ya Biblia kuhusu jukumu la mwanamke

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia jukumu la mwanamke

Tito 2 : 3 – 5
3 Vivyo hivyo na wazee wa kike wawe na mwenendo wa utakatifu; wasiwe wasingiziaji, wasiwe wenye kutumia mvinyo nyingi, bali wanaofundisha yaliyo mema;
4 ili wawatie wanawake vijana akili, wawapende waume zao, na kuwapenda watoto wao;
5 na kuwa wenye kiasi, kuwa safi, kufanya kazi nyumbani mwao, kuwa wema, kuwatii waume zao wenyewe; ili neno la Mungu lisitukanwe.

1 Wakorintho 11 : 3
3 ⑥ Lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha kila mwanamume ni Kristo, na kichwa cha mwanamke ni mwanamume, na kichwa cha Kristo ni Mungu.

1 Wakorintho 14 : 34
34 ⑥ Wanawake na wanyamaze katika kanisa, maana hawana ruhusa kunena bali watii, kama vile inenavyo torati nayo.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *