Biblia inasema nini kuhusu jina la mungu โ€“ Mistari yote ya Biblia kuhusu jina la mungu

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia jina la mungu

Yeremia 16 : 21
21 Basi, tazama, nitawajulisha, mara moja hii nitawajulisha, mkono wangu, na nguvu zangu; nao watajua ya kuwa, jina langu ni YEHOVA.

Kutoka 20 : 7
7 โ‘ฒ Usilitaje bure jina la BWANA, Mungu wako, maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.

Mathayo 6 : 9
9 Basi ninyi salini hivi; Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe, Ufalme wako uje,

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *