Biblia inasema nini kuhusu Jerahmeeli – Mistari yote ya Biblia kuhusu Jerahmeeli

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Jerahmeeli

1 Mambo ya Nyakati 2 : 9
9 ⑧ Tena wana wa Hesroni aliozaliwa; Yerameeli, na Ramu, na Kalebu.

1 Mambo ya Nyakati 24 : 29
29 Wa Kishi; wana wa Kishi; Yerameeli.

Yeremia 36 : 26
26 Mfalme akamwamuru Yerameeli, mwana wa mfalme, na Seraya, mwana wa Azrieli, na Shelemia, mwana wa Abdeeli, wamkamate Baruku, mwandishi, na Yeremia, nabii; lakini BWANA aliwaficha.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *