Biblia inasema nini kuhusu Jengo – Mistari yote ya Biblia kuhusu Jengo

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Jengo

2 Wakorintho 5 : 1
1 Kwa maana twajua ya kuwa nyumba ya maskani yetu iliyo ya dunia hii ikiharibiwa, tunalo jengo litokalo kwa Mungu, nyumba isiyofanywa kwa mikono, iliyo ya milele mbinguni.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *