Biblia inasema nini kuhusu Jazer – Mistari yote ya Biblia kuhusu Jazer

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Jazer

Yoshua 21 : 39
39 na Heshboni pamoja na mbuga zake za malisho, na Yazeri pamoja na mbuga zake za malisho; jumla yake miji minne.

Hesabu 21 : 32
32 ⑫ Kisha Musa akatuma watu ili kupeleleza Yazeri, nao wakaitwaa miji yake, wakawafukuza Waamori waliokuwamo.

Hesabu 32 : 1
1 ③ Basi wana wa Reubeni, na hao wana wa Gadi, walikuwa na wanyama wa mifugo wengi sana; nao walipoona nchi ya Yazeri, na nchi ya Gileadi, ya kuwa mahali hapo palikuwa ni mahali pa kuwafaa wanyama;

Hesabu 32 : 3
3 Atarothi, na Diboni, na Yazeri, na Nimra, na Heshboni, na Eleale, na Sebamu, na Nebo na Beoni,

Hesabu 32 : 35
35 na Atrothi-shofani, na Yazeri, na Yogbeha;

Yoshua 13 : 25
25 ④ Mpaka wao ulikuwa ni Yazeri, na miji hiyo ya Gileadi, na nusu ya nchi ya wana wa Amoni, mpaka Aroeri uliokabili Raba;

Yeremia 48 : 32
32 ⑤ Nitakulilia, Ee mzabibu wa Sibma, kwa vilio vipitavyo vilio vya Yazeri; matawi yako yalipita juu ya bahari, yalifika hadi bahari ya Yazeri; atekaye nyara ameyaangukia matunda yako ya wakati wa jua, na mavuno yako ya zabibu.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *