Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Jatiri
Yoshua 15 : 48
48 Na katika nchi ya vilima, Shamiri, Yatiri, Soko;
Yoshua 21 : 14
14 na Yatiri pamoja na mbuga zake za malisho, na Eshtemoa pamoja na mbuga zake za malisho;
1 Samweli 30 : 27
27 yaani, kwa hao wa Betheli, na kwa hao wa Ramoth-Negebu, na kwa hao wa Yatiri;
1 Mambo ya Nyakati 6 : 57
57 Na wana wa Haruni wakapewa miji ile ya kukimbilia, nayo ni Hebroni, tena Libna pamoja na viunga vyake, na Yatiri, na Eshtemoa pamoja na viunga vyake;
Leave a Reply