Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Jared
Mwanzo 5 : 16
16 Mahalaleli akaishi baada ya kumzaa Yaredi miaka mia nane na thelathini, akazaa wana, wa kiume na wa kike.
Mwanzo 5 : 20
20 Siku zote za Yaredi ni miaka mia tisa na sitini na miwili, akafa.
1 Mambo ya Nyakati 1 : 2
2 na Kenani, na Mahalaleli, na Yaredi;
Luka 3 : 37
37 wa Methusela, wa Henoko, wa Yaredi, wa Mahalaleli, wa Kenani,
Leave a Reply