Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Jahath
1 Mambo ya Nyakati 4 : 2
2 Na Reaya, mwana wa Shobali, akamzaa Yahathi; na Yahathi akawazaa Ahumai, na Lahadi. Hizo ndizo jamaa za Wasorathi.
1 Mambo ya Nyakati 23 : 11
11 Naye Yahathi alikuwa mkubwa wao, na Zina alikuwa wa pili; lakini Yeushi na Beria hawakuwa na wana wengi; basi wakahesabiwa pamoja kama ukoo mmoja.
1 Mambo ya Nyakati 24 : 22
22 Wa Waishari, Shelomothi; wa wana wa Shelomothi, Yahathi.
2 Mambo ya Nyakati 34 : 12
12 ⑩ Nao watu wakatenda kazi kwa uaminifu; na wasimamizi wao walikuwa Yahathi na Obadia, Walawi, wa wana wa Merari; na Zekaria na Meshulamu, wa wana wa Wakohathi, ili kuihimiza kazi; na wengine katika Walawi, wote waliokuwa mastadi wa kupiga vinanda.
Leave a Reply