Biblia inasema nini kuhusu Ithra – Mistari yote ya Biblia kuhusu Ithra

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Ithra

2 Samweli 17 : 25
25 Naye Absalomu akamweka Amasa awe juu ya jeshi mahali pa Yoabu. Basi huyo Amasa alikuwa mwana wa mtu, jina lake Yetheri, Mwishmaeli, aliyeingia kwa Abigali, binti Nahashi, nduguye Seruya, mamaye Yoabu.

1 Mambo ya Nyakati 2 : 17
17 ⑭ Na Abigaili akamzaa Amasa; na babaye Amasa ni Yetheri, Mwishmaeli.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *