Biblia inasema nini kuhusu Ithiel – Mistari yote ya Biblia kuhusu Ithiel

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Ithiel

Nehemia 11 : 7
7 Na wana wa Benyamini ndio hawa; Salu, mwana wa Meshulamu, mwana wa Yoedi, mwana wa Pedaya, mwana wa Kolaya, mwana wa Maaseva, mwana wa Ithieli, mwana wa Yeshaya.

Mithali 30 : 1
1 Maneno ya Aguri mwana wa Yake; mausia mtu huyu aliyomwambia Ithieli, naam, Ithieli na Ukali.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *