Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Ishui
Mwanzo 46 : 17
17 Na wana wa Asheri; Imna, na Ishva, na Ishvi, na Beria, na Sera, dada yao. Na wana wa Beria ni Heberi, na Malkieli.
Hesabu 26 : 44
44 ⑫ Na wana wa Asheri kwa jamaa zao; wa Imna, jamaa ya Waimna; wa Ishvi jamaa ya Waishvi; wa Beria, jamaa ya Waberia.
1 Mambo ya Nyakati 7 : 30
30 ⑩ Wana wa Asheri; Imna, na Ishva, na Ishvi, na Beria, na dada yao, Sera.
1 Samweli 14 : 49
49 ③ Basi, wana wa Sauli walikuwa ni hawa, Yonathani, na Ishvi, na Malkishua; na majina ya binti zake wawili yalikuwa haya; jina lake wa kwanza aliitwa Merabu, na jina lake mdogo aliitwa Mikali;
Leave a Reply