Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Ishi
Hosea 2 : 16
16 Tena siku hiyo itakuwa, asema BWANA, utaniita Ishi,[5] wala hutaniita tena Baali.[6]
1 Mambo ya Nyakati 2 : 31
31 Na wana wa Apaimu; Ishi. Na wana wa Ishi; Sheshani. Na wana wa Sheshani; Alai.
1 Mambo ya Nyakati 4 : 20
20 Na wana wa Shimoni; Amnoni, na Rina, na Ben-hanani, na Tiloni. Na wana wa Ishi; Zohethi, na Ben-zohethi.
1 Mambo ya Nyakati 4 : 42
42 Na baadhi yao, wana wa Simeoni wapatao watu mia tano, wakaenda mpaka mlima Seiri, na majemadari wao walikuwa Pelatia, na Nearia, na Refaya, na Uzieli, wana wa Ishi.
1 Mambo ya Nyakati 5 : 24
24 Na hawa ndio wakuu wa koo za baba zao; Eferi, na Ishi, na Elieli, na Azrieli, na Yeremia, na Hodavia, na Yadieli; wapiganaji vita hodari, watu mashuhuri, wakuu wa koo za baba zao.
Leave a Reply