Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Iram
Mwanzo 36 : 43
43 jumbe Magdieli, jumbe Iramu. Hao ndio majumbe wa Edomu, kulingana na makao yao, katika nchi ya mamlaka yao. Naye huyo ndiye Esau, baba ya Edomu.
1 Mambo ya Nyakati 1 : 54
54 na jumbe Magdieli, na jumbe Iramu. Hao ndio majumbe wa Edomu.
Leave a Reply