Biblia inasema nini kuhusu Immer – Mistari yote ya Biblia kuhusu Immer

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Immer

1 Mambo ya Nyakati 9 : 12
12 na Adaya, mwana wa Yerohamu, mwana wa Pashuri, mwana wa Malkiya; na Maasai, mwana wa Adieli, mwana wa Yazera, mwana wa Meshulamu, mwana wa Meshilemithi, mwana wa Imeri;

Ezra 2 : 37
37 Wazawa wa Imeri, elfu moja hamsini na wawili.

Ezra 10 : 20
20 Na wa wazawa wa Imeri; Hanani, na Zebadia.

Nehemia 7 : 40
40 ⑳ Wana wa Imeri, elfu moja hamsini na wawili.

Nehemia 11 : 13
13 na ndugu zake, wakuu wa mbari za mababa, watu mia mbili arubaini na wawili; na Maasai, mwana wa Azareli, mwana wa Azai, mwana wa Meshilemothi, mwana wa Imeri,

1 Mambo ya Nyakati 24 : 14
14 ya kumi na tano Bilga, ya kumi na sita Imeri;

Ezra 2 : 59
59 Na hawa ndio watu waliokwea kutoka Tel-mela, na Tel-harsha, na Kerubu, na Adani, na Imeri; lakini hawakuweza kuonesha koo za baba zao, wala kizazi chao, kwamba walikuwa wa Israeli;

Nehemia 7 : 61
61 Na hawa ndio watu waliokwea kutoka Tel-mela, na Tel-harsha, na Kerubu, na Adani, na Imeri; lakini hawakuweza kuonesha mbari za baba zao, wala kizazi chao, kwamba walikuwa wa Israeli;

Nehemia 3 : 29
29 ⑱ Na baada yake akajenga Shemaya, mwana wa Shekania, mlinzi wa lango la mashariki.

Yeremia 20 : 2
2 Ndipo Pashuri akampiga Yeremia, nabii, akamtia katika mkatale, uliokuwa pale penye lango la juu la Benyamini, lililokuwa katika nyumba ya BWANA.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *