Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Husk
Hesabu 6 : 4
4 Siku zote za kujitenga kwake asile kitu chochote kilichoandaliwa kwa mzabibu, tangu kokwa hata maganda.
2 Wafalme 4 : 42
42 Tena, akaja mtu kutoka Baal-shalisha, akamletea mtu wa Mungu chakula cha malimbuko, mikate ishirini ya shayiri, na masuke mabichi ya ngano guniani. Akasema, Uwape watu, ili wale.
Luka 15 : 16
16 ⑰ Akawa akitamani kujishibisha kwa maganda waliyokula nguruwe, wala hapana mtu aliyempa kitu.
Leave a Reply