Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Hoshaya
Nehemia 12 : 32
32 na baada yao wakaenda Hoshaya, na nusu ya wakuu wa Yuda,
Yeremia 42 : 1
1 ⑥ Ndipo makamanda, wote wa majeshi, na Yohana, mwana wa Karea, na Yezania, mwana wa Hoshaya, na watu wote tangu wadogo hata wakubwa, wakakaribia,
Yeremia 43 : 2
2 ndipo Azaria, mwana wa Hoshaya, na Yohana mwana wa Karea, na watu wote wenye kiburi wakanena, wakimwambia Yeremia, Unasema uongo; BWANA, Mungu wetu, hakukutuma useme, Msiende Misri kukaa huko;
Leave a Reply