Biblia inasema nini kuhusu Hodiah – Mistari yote ya Biblia kuhusu Hodiah

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Hodiah

1 Mambo ya Nyakati 4 : 19
19 Na wana wa mkewe Hodia, dada yake Nahamu, walikuwa babaye Keila, Mgarmi, na Eshtemoa, Mmaaka.

Nehemia 8 : 7
7 Tena Yeshua, na Bani, na Sherebia, na Yamini, na Akubu, na Shabethai, na Hodai, na Maaseya, na Kelita, na Azaria, na Yozabadi, na Hanani, na Pelaya, nao ni Walawi, wakawafahamisha watu torati; na watu wakasimama mahali pao.

Nehemia 9 : 5
5 Ndipo Walawi, Yeshua na Kadmieli, na Bani, na Hashabneya, na Sherebia, na Hodia, na Shebania, na Pethahia, wakasema, Simameni, mkamhimidi BWANA, Mungu wenu, tangu milele na hata milele. Na lihimidiwe jina lako tukufu, lililotukuka kuliko baraka zote na sifa zote.

Nehemia 10 : 10
10 na ndugu zao, Shebania, Hodia, Kelita, Pelaya, Hanani;

Nehemia 10 : 13
13 Hodia, Bani, Beninu;

Nehemia 10 : 18
18 Hodia, Hashumu, Besai;

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *