Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Hirah
Mwanzo 38 : 1
1 ⑳ Ikawa wakati ule, Yuda akashuka kutoka kwa ndugu zake, akamfikia mtu Mwadulami, jina lake Hira.
Mwanzo 38 : 12
12 Siku nyingi zikapita, akafa binti Shua, mkewe Yuda. Yuda akafarijika, akaenda kwa watu wake wawakatao kondoo manyoya huko Timna, yeye na mwenzake Hira, Mwadulami.
Leave a Reply