Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Hillel
Waamuzi 12 : 13
13 Baada ya Eloni, Abdoni mwana wa Hileli, Mpirathoni, akawa mwamuzi wa Israeli.
Waamuzi 12 : 15
15 ⑱ Huyo Abdoni mwana wa Hileli, Mpirathoni, akafa, akazikwa huko Pirathoni katika nchi ya Efraimu, katika nchi ya vilima ya Waamaleki.
Leave a Reply