Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Hethi
Mwanzo 10 : 15
15 Kanaani akamzaa Sidoni, mwanawe wa kwanza, na Hethi,
Mwanzo 23 : 3
3 Akaondoka Abrahamu kutoka mbele ya maiti wake, akasema na wazawa wa Hethi, akinena,
Mwanzo 23 : 5
5 Wazawa wa Hethi wakamjibu Abrahamu, wakamwambia,
Mwanzo 23 : 7
7 Abrahamu akaondoka, akainama mbele ya watu wa nchi, mbele ya hao wazawa wa Hethi.
Mwanzo 23 : 10
10 Basi Efroni alikuwa akiketi kati ya wazawa wa Hethi. Efroni Mhiti akamjibu Abrahamu, na wazawa wa Hethi wanasikiliza, hata watu wote waingiao mlango wa mji wake, akisema,
Mwanzo 23 : 16
16 ④ Abrahamu akakubali maneno ya Efroni. Abrahamu akampimia Efroni ile fedha aliyotaja masikioni mwa wazawa wa Hethi, shekeli za fedha mia nne za namna inayotumika na wenye biashara.
Mwanzo 23 : 18
18 kuwa mali yake Abrahamu, mbele ya wazawa wa Hethi, mbele ya watu wote waingiao katika mlango wa mji wake.
Mwanzo 27 : 46
46 ① Rebeka akamwambia Isaka, Rohoni mwangu sina raha kwa sababu ya hao binti za Hethi. Kama Yakobo akitwaa mke katika binti za Hethi, kama hawa binti za nchi, maisha yangu yatanifaidi nini?
Mwanzo 49 : 32
32 shamba na pango lililomo lililonunuliwa kwa wazawa wa Hethi.
Leave a Reply