Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Helemu
1 Mambo ya Nyakati 7 : 35
35 Na wana wa nduguye Helemu; Sofa, na Imna, na Sheleshi, na Amali.
Zekaria 6 : 10
10 Pokea vitu mikononi mwa baadhi ya watu waliohamishwa, yaani, Heldai, na Tobia, na Yedaya; na siku iyo hiyo nenda ukaingie katika nyumba ya Yosia, mwana wa Sefania, waliyoifikia kutoka Babeli;
Zekaria 6 : 14
14 Na hayo mataji yatakuwa ya Heldai, na Tobia, na Yedaya; na kwa fadhili za mwana wa Sefania; yawe kumbukumbu katika hekalu la BWANA.
Leave a Reply