Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Hashum
Ezra 2 : 19
19 Wazawa wa Hashumu, mia mbili ishirini na watatu.
Ezra 10 : 33
33 Na wa wazawa wa Hashumu; Matenai, na Matata, na Zabadi, na Elifeleti, na Yeremai, na Manase, na Shimei.
Nehemia 7 : 22
22 Wana wa Hashumu, mia tatu ishirini na wanane.
Nehemia 8 : 4
4 Naye Ezra, kuhani, akasimama juu ya mimbari ya mti, waliyokuwa wameitengeneza kwa kusudi hilo; na karibu naye wakasimama Matithia, na Shema, na Anaya, na Uria, na Hilkia, na Maaseya, mkono wake wa kulia; na mkono wake wa kushoto, Pedaya, na Misbaeli, na Malkiya, na Hashumu, na Hashbadani, na Zekaria, na Meshulamu.
Nehemia 10 : 18
18 Hodia, Hashumu, Besai;
Leave a Reply