Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Hashubu
Nehemia 3 : 11
11 ⑤ Malkiya, mwana wa Harimu, na Hashubu, mwana wa Pahath-moabu, wakajenga sehemu nyingine, na mnara wa tanuri.
Nehemia 3 : 23
23 Baada yao wakajenga Benyamini na Hashubu, kuielekea nyumba yao. Baada yao akajenga Azaria, mwana wa Maaseya, mwana wa Anania, kando ya nyumba yake.
Nehemia 10 : 23
23 Hoshea, Hanania, Hashubu;
1 Mambo ya Nyakati 9 : 14
14 Na katika Walawi; Shemaya, mwana wa Hashubu, mwana wa Azrikamu, mwana wa Hashabia, wa wana wa Merari;
Nehemia 11 : 15
15 Na wa Walawi; Shemaya, mwana wa Hashubu, mwana wa Azrikamu, mwana wa Hashabia, mwana wa Buni;
Leave a Reply