Biblia inasema nini kuhusu Halaki – Mistari yote ya Biblia kuhusu Halaki

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Halaki

Yoshua 11 : 17
17 ⑭ tangu kilima cha Halaki, kiendeleacho upande wa Seiri, mpaka Baal-gadi katika bonde la Lebanoni chini ya kilima cha Hermoni; naye akawatwaa wafalme wao wote, akawapiga, na kuwaua.

Yoshua 12 : 7
7 Hawa ni wafalme wa hiyo nchi ambao Yoshua na wana wa Israeli waliwapiga ng’ambo ya pili ya Yordani upande wa magharibi, kutoka Baal-gadi katika bonde la Lebanoni mpaka kilima cha Halaki, kilichoelekea Seiri; Yoshua naye akawapa makabila ya Israeli iwe milki yao sawasawa na magawanyo yao;

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *