Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Hakalia
Nehemia 1 : 1
1 Habari za Nehemia, mwana wa Hakalia. Ikawa katika mwezi wa Kislevu,[1] mwaka wa ishirini, nilipokuwapo Shushani ngomeni,
Nehemia 10 : 1
1 Basi hawa ndio waliotia mhuri; Nehemia, ndiye Tirshatha, mwana wa Hakalia, na Sedekia;
Leave a Reply