Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Hajiri
Mwanzo 25 : 15
15 na Hadadi, na Tema, na Yeturi, na Nafishi, na Kedema.
1 Mambo ya Nyakati 5 : 10
10 ③ Na katika siku za Sauli wakapigana vita na Wahajiri, ambao waliangushwa kwa mikono yao; nao wakakaa katika hema zao katika nchi yote upande wa mashariki wa Gileadi.
1 Mambo ya Nyakati 5 : 22
22 ⑩ Kwani walianguka wengi waliouawa, kwa sababu vita vile vilikuwa vya Mungu. Nao wakakaa katika nchi yao hadi wakati wa ule uhamisho.
Zaburi 83 : 6
6 Hema za Edomu, na Waishmaeli, Na Moabu, na Wahagari,
Wagalatia 4 : 25
25 Maana Hajiri ni kama mlima Sinai ulioko Arabuni, umelingana na Yerusalemu wa sasa; kwa kuwa yuko utumwani pamoja na watoto wake.
Leave a Reply