Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Guni
Mwanzo 46 : 24
24 Na wana wa Naftali; Yaseeli, na Guni, na Yaseri, na Shilemu.
Hesabu 26 : 48
48 ⑬ Na wana wa Naftali kwa jamaa zake; wa Yaseeli, jamaa ya Wayaseeli; na wa Guni, jamaa ya Waguni;
1 Mambo ya Nyakati 7 : 13
13 Wana wa Naftali; Yaseeli, na Guni, na Yeseri, na Shalumu; wana wa Bilha.
1 Mambo ya Nyakati 5 : 15
15 Ahi, mwana wa Abdieli, mwana wa Guni, alikuwa mkuu wa koo za baba zao.
Leave a Reply