Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Gomeri
Mwanzo 10 : 3
3 Na wana wa Gomeri ni Ashkenazi, na Rifathi, na Togama.
1 Mambo ya Nyakati 1 : 6
6 Na wana wa Gomeri; Ashkenazi, na Rifathi, na Togama.
Ezekieli 38 : 6
6 Gomeri, na vikosi vyake vyote; nyumba ya Togarma, pande za mwisho za kaskazini, na vikosi vyake vyote; naam, watu wengi pamoja nawe.
Hosea 1 : 3
3 Basi akaenda akamwoa Gomeri, binti Diblaimu; naye akachukua mimba, akamzalia mtoto wa kiume.
Leave a Reply