Biblia inasema nini kuhusu Gezeri โ€“ Mistari yote ya Biblia kuhusu Gezeri

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Gezeri

Yoshua 10 : 33
33 Wakati huo Horamu, mfalme wa Gezeri, akakwea ili kuusaidia Lakishi, lakini Yoshua akampiga yeye na watu wake, hata asimsazie hata mtu mmoja.

Yoshua 12 : 12
12 mfalme wa Egloni, mmoja; na mfalme wa Gezeri, mmoja;

Yoshua 16 : 10
10 โ‘ฒ Nao hawakuwatoa Wakanaani waliokuwa wakikaa Gezeri; lakini hao Wakanaani waliketi kati ya Efraimu, hata hivi leo, wakawa watumishi wa kufanya kazi za shokoa.

Waamuzi 1 : 29
29 Efraimu naye hakuwatoa Wakanaani waliokuwa wakikaa katika Gezeri; lakini Wakanaani walikaa ndani ya Gezeri kati yao.

Yoshua 16 : 3
3 โ‘ฌ kisha ikateremkia upande wa magharibi hadi kuufikia mpaka wa Wayafleti, hadi mpaka wa Beth-horoni ya chini, hadi kufikia Gezeri; na matokeo yake yalikuwa hapo baharini.

Yoshua 16 : 10
10 โ‘ฒ Nao hawakuwatoa Wakanaani waliokuwa wakikaa Gezeri; lakini hao Wakanaani waliketi kati ya Efraimu, hata hivi leo, wakawa watumishi wa kufanya kazi za shokoa.

1 Mambo ya Nyakati 7 : 28
28 Na hizi ndizo miliki yao na makao yao; Betheli na vijiji vyake, na upande wa mashariki Naara, na upande wa magharibi Gezeri na vijiji vyake; na Shekemu pia na vijiji vyake, hata Aza na vijiji vyake;

Yoshua 21 : 21
21 Nao wakawapa Shekemu pamoja na mbuga zake za malisho, katika nchi ya vilima ya Efraimu, huo mji wa makimbilio kwa ajili ya mwuaji; na Gezeri pamoja na mbuga zake za malisho;

1 Mambo ya Nyakati 20 : 4
4 Ikawa baada ya hayo, kulitokea vita na Wafilisti huko Gezeri; ndipo Sibekai, Mhushathi, alipomwua Safu, mmojawapo wa Warefai;[14] nao Wafilisti[15] wakashindwa.

2 Samweli 21 : 18
18 Ikawa baada ya hayo, kulikuwa na vita tena na Wafilisti huko Gobu; ndipo Sibekai, Mhushathi, alipomwua Safu, aliyekuwa mmoja wa Warefai.

1 Samweli 27 : 8
8 Naye Daudi na watu wake walikuwa wakikwea na kuwashambulia Wageshuri, na Wagirizi, na Waamaleki waliokuwa wenyeji wa nchi hiyo, tangu Telemu, hapo uendapo Shuri, mpaka nchi ya Misri.

1 Wafalme 9 : 17
17 Naye Sulemani akaujenga Gezeri, na Beth-horoni wa chini,

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *