Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Ethamu
Kutoka 13 : 20
20 Nao wakasafiri kutoka Sukothi, wakapiga kambi Ethamu, kwenye mpaka wa lile jangwa.
Hesabu 33 : 7
7 Wakasafiri kutoka Ethamu, na kurudi nyuma hata Pi-hahirothi palipokabili Baal-sefoni; wakapiga kambi mbele ya Migdoli.
Leave a Reply