Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Enani
Hesabu 1 : 15
15 Wa Naftali; Ahira mwana wa Enani.
Hesabu 2 : 29
29 ⑪ kisha kabila la Naftali; na mkuu wa wana wa Naftali atakuwa Ahira mwana wa Enani;
Hesabu 7 : 78
78 ① Na siku ya kumi na mbili Ahira mwana wa Enani, mkuu wa wana wa Naftali;
Hesabu 7 : 83
83 tena kwa ajili ya dhabihu ya sadaka za amani, ng’ombe dume wawili, na kondoo dume watano, na mbuzi dume watano, na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja; hayo ndiyo matoleo ya Ahira mwana wa Enani.
Hesabu 10 : 27
27 Tena juu ya jeshi la kabila la wana wa Naftali ni Ahira mwana wa Enani.
Leave a Reply