Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Elima
Matendo 13 : 8
8 ⑦ Lakini Elima, yule mchawi (maana ndiyo tafsiri ya jina lake), akashindana nao, akitaka kumtia yule mtawala moyo wa kuiacha ile imani.
Matendo 13 : 10
10 ⑧ akasema, Ewe mwenye kujaa hila na uovu wote, mwana wa Ibilisi, adui wa haki yote, huachi kuzipotoa njia za Bwana zilizonyooka?
Leave a Reply