Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Eliezeri
Mwanzo 15 : 2
2 Abramu akasema, Ee Bwana MUNGU, utanipa nini, nami naenda zangu hali sina mtoto, na atakayeimiliki nyumba yangu ni huyu Eliezeri, Mdameski?
1 Mambo ya Nyakati 7 : 8
8 Na wana wa Bekeri; Zemira, na Yoashi, na Eliezeri, na Elioenai, na Omri, na Yeremothi, na Abiya, na Anathothi, na Alemethi. Hao wote ndio wana wa Bekeri.
Kutoka 18 : 4
4 na jina la wa pili ni Eliezeri,[24] kwa kuwa alisema, Yeye Mungu wa baba yangu alikuwa msaada wangu, akaniokoa na upanga wa Farao.
1 Mambo ya Nyakati 23 : 15
15 Wana wa Musa; Gershomu na Eliezeri.
1 Mambo ya Nyakati 23 : 17
17 Na wana wa Eliezeri; Rehabia mkuu wao. Yeye Eliezeri hakuwa na wana wengine; lakini wana wa Rehabia walikuwa wengi sana.
1 Mambo ya Nyakati 15 : 24
24 ⑰ Na Shebania, na Yoshafati, na Nethaneli, na Amasai, na Zekaria, na Benaya, na Eliezeri, makuhani, wakapiga baragumu mbele ya sanduku la Mungu; na Obed-edomu na Yehia walikuwa mabawabu kwa ajili ya sanduku.
1 Mambo ya Nyakati 27 : 16
16 Wakuu wa makabila ya Israeli walikuwa hawa; wa Wareubeni, Eliezeri mwana wa Zikri; wa Wasimeoni, Shefatia mwana wa Maaka;
2 Mambo ya Nyakati 20 : 37
37 ⑮ Ndipo Eliezeri mwana wa Dodavahu wa Maresha akatoa unabii juu ya Yehoshafati, akasema, Kwa sababu umepatana na Ahazia, BWANA amezivunjavunja kazi zako. Zikavunjika merikebu, zisiweze kufika Tarshishi.
Luka 3 : 29
29 wa Yoshua, wa Eliezeri, wa Yorimu, wa Mathati, wa Lawi,
Ezra 8 : 16
16 Ndipo nikatuma watu kwenda kumwita Eliezeri, na Arieli, na Shemaya, na Elnathani, na Yaribu, na Elnathani, na Nathani, na Zekaria, na Meshulamu, waliokuwa wakuu; na Yoyaribu, na Elnathani pia, waliokuwa waalimu.
Ezra 10 : 18
18 ⑮ Basi, miongoni mwa makuhani walionekana wengine waliokuwa wameoa wanawake wageni; wa wazawa wa wa Yoshua, mwana wa Yosadaki, na nduguze; Maaseya, na Eliezeri, na Yaribu, na Gedalia.
Ezra 10 : 23
23 Na wa Walawi; Yozabadi, na Shimei, na Kelaya (ndiye Kelita), na Pethahia, na Yuda, na Eliezeri.
Ezra 10 : 31
31 ⑲ Na wa wazawa wa Harimu; Eliezeri, na Ishiya, na Malkiya, na Shemaya, na Shimeoni,
Leave a Reply