Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Elegy
2 Samweli 1 : 17
17 Basi Daudi akamwomboleza Sauli, na Yonathani, mwanawe, maombolezo haya;
2 Samweli 1 : 27
27 Jinsi mashujaa walivyoanguka, Na silaha za vita zilivyoangamia!
2 Samweli 3 : 34
34 Mikono yako haikufungwa, Wala miguu yako haikutiwa pingu; Aangukavyo mtu mbele ya wana wa uovu, ndivyo ulivyoanguka. Na watu wote wakaongeza kumlilia.
Leave a Reply